Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 10, 2014


Dr. Dre ametengeneza history baada ya kuuza ‘Beats by Dr’ na kuwa mwanahiphop wa kwanza kuwa billionaire katika industry.Marapa kama 2 Chainz,Diddy na wengineo wengi wametuma salamu za pongezi kwa mwamba huyo wa hip hop na muandaaji wa muziki.

Na hiki ndicho alichokiandika Diddy katika Instagram:“This is BIG! This is Historical! If anyone deserves it, it’s you! Congratulations Dr. Dre!” 

Rappa  2 Chainz ameweka picha ya card na pair ya Beats headphones alizopewa naDr. Dre na kuandika; “Congrats Dr Dre!!”

0 comments:

Post a Comment