Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 12, 2014

 0511-cooper-sterling-tmz-getty-01
Ikiwa ni wiki kadhaa sasa tangu mmiliki wa timbu ya mpira wa kikapu inayoshiriki ligi ya NBA,Los Angeles Clippers bw Donald Sterling kupewa adhabu kali na shirikish la mchezo huo huko Marekani kwa kauli kali za kibaguzi,jana jumapili usiku uma ulipata kusikia sehemu ya kwanza ya mahojiano kuhusiana na tukio hilo.  Mahojiano hayo na "Anderson Cooper 360" yatarushwa hewani leo usiku.Sehemu ya kwanza ya mahojiano
itamuonyesha Sterling akiongelea swala zima na kuhusu V. Stiviano,hatima yake ndani ya  NBA na kama haitoshi ataonekana akiomba radhi kwa kauli hizo kali za kibaguzi alizozitoa.

0 comments:

Post a Comment