Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 12, 2014


 
Kufuatia ripoti za dili la Apple kuinunua Beats Electronics,kunataarifa zaidi zimeenea kuhusu Apple naBeats Electronics founders Dr. Dre na Jimmy Iovine.
Ukiachilia mbali kuinunua Beats Electronics dolla billioni $3.2 kampuni ya Apple pia ina mpango wa kufanya kazi na kuwapa nafasi za juu katika kampuni hiyo Dr. Dre na Iovine japo bado haijafahamika watapatiwa vyeo gani..Apple ipo chini ya CEO,Tim Cook.

0 comments:

Post a Comment