Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 21, 2014

Future and Ciara
Salamu za hongera kwa Ciara na Future kwa kupata motto.Wawili hao wametangaza kupata motto wa kiume mapema wiki hii huko Los Angeles.
Muimbajihuyo wa “Body Party” Ciara mwenye umri wa miaka 28,amejifungua motto waku huyo ambaye ni wa kwanza,alfajiri ya jumatatu.
Ciara na Future waliaznisha mahusianoyao wakati wakishirikiana kutengeneza albamu ya ‘Body Party,’.Future mwenye umri wa miaka 30,ana watoto wengine watatu na sasa anakuwa baba watoto wane.

0 comments:

Post a Comment