Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 20, 2014

 Chris Brown and James DeBarge
Chris Brown yupo jela ila haimzuii kufanya kazi ake ya muziki.The R&B superstar huyo amefanya kolabo na mjela mwenzake ambaye ni supastar na hitmaker wa miaka ya 80 aliyetamba kwa ngoma kali kama “Rhythm of the Night,” James DeBarge in jail.Mtandao wa TMZ, ueandika Brown anautumia muda mwingi jela huko L.A. kuimba ’na mjela mwenzake DeBarg.Taarifa zaidi zinasema mastar hao selo zao zipo karibu hivyo wanatumia muda mwingi kuwa karibu na kufanya shughuli za muziki na tunataarifiwa wameshafanya ngoma kama tatu tayari ambazo tayari washatumbuiza kwa wajelajela wenzao katika sik za mapumziko na zimekubalika.
Hitmaker Debarge mwenye umri wa miaka 50 alishwahi kuwa maarufu sana na hata alishwahi kumoa  Janet Jackson mwaka 1984,yupo jela kwa makosa ya kukutwa na silaha kubwa kinyume cha sheria na madawa ya kulevya.

0 comments:

Post a Comment