Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 15, 2014



Jay Z na Beyonce imeripotiwa watahudhuria harusi ya Kanye West/Kardashian .
Mtamndao wa Radar online exclusive umeandika, Jay Z atakuwa best man wa rafiki yake mkubwa, Kanye West.katika harusi inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni pamoja na kuwepo na uvumi kwamba mastar hao ambao ni Jay Z na mkewe Beyonce walitangaza hawatohudhuria.Mtanda wa Radar Online umesema hatua hiyo imefikiwa baada ya makubaliano ya utata uliokuwapo wa harusi hiyo kuwa sehemu ya vipande vitakavyoonyeshwa  na TV network E!

0 comments:

Post a Comment