Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 14, 2014

will.i.am Asked To Leave United Airlines First Class Lounge
Rapperna producer will.i.am kupitia akaunti yake ya Twitter weekend hii alitumia kuitupia lwama kampuni ya ndege ya United Airlines kwa kumuondosha katika daraja la kwanza katika ndege hiyo akiwa katika safari zake za kibiashara.Muimbaji huyo wa kundila la Black Eyed Peas hajasema alikuwa akitoka wapi kwenda wapi lakini alivurumisha jumbe kadhaa kuishutumu na kulaumu kampuni hiyo kubwa ndege Marekani: Tweet ya kwanza ilikuwa #unitedAIRLINES is the worse” na baadaec akasemea pamoja na kunitao daraja hilo la kwanza kwa madai kwamba kadi yangu ni feki,rubani wa United alimuomba wapige picha.Kufuatia utata huo The airline baadaye walitoa maelezo juu ya kilichotea kwa will.i.am kama mteja na kukiri kuna makosa yalifanywa pande zote mbili.
Tazama baadhi ya Tweets hapo chini:

I fly so much...a business should know who their customers are...its ok im making this my lounge http://twitpic.com/e3fcdc 

0 comments:

Post a Comment