Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 14, 2014












Mwanamuziki wa kimataifa wa mtindo wa Pop,Justin Bieber anachunguzwa na polisi kwa madai ya wizi
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 20, ambaye bado hajakamatwa, alituhumiwa kwa kosa la kuumuibia mwanamke mmoja shabiki wake.Mtandao wa taarifa za wasanii wa kimataifa,TMZ,Bieber anatuhumiwa kumnyang'anya mwanamke mmoja simu yake.Inaarifiwa mwanamke huyo alikua ametumia simu yake kumpiga picha Bieber lakini pindi aliporudisha simu yake kwenye kibeti chake, Bieber naye akaiiba simu hiyo.Tukio hilo lilitokea katika uwanja wa kuchezea Golf mjini Los Angeles.
Kufikia sasa hakuna mtu aliyekamatwa na polisi wanamhoji mwanamke anayeyei kubiwa simu yake na Bieber.
Mwanamuziki huyo amekuwa akikumbwa na matatizo ya kujitakia tangu mwanzoni mwa mwaka huu mwanzo kwa kuendesha gari akiwa mlevi mjini Miami.
Bieber akiwatumbuiza mashabiki.

Kesi kuhusu tukio hilo inatarajiwa kusikilizwa mwezi Julai.

0 comments:

Post a Comment