Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 14, 2014


Mshindi wa tuzo za Grammy,Rihanna ndiyo anayetajwa kuwa sababu ya Solange kumshambulia Jay Z katika liftui huko New York katika after party ya  Met Gala.
Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na hata gazeti la New York Daily News imeandika moja ya sababu ya ugomvi huo ni rappa Jay Z kupanga kwenda katika Met Gala after-party ya Rihanna  bila Beyonce na mbili ni Solange kuja na rafiki zake wengi ambao walitumia jina la Jay Z kuingia katika pati hiyo na kupata huduma mbalimbali kitu ambacho rappa huyo hakukikpenda na kumwambia wazi Solange ambaye alisusa na kutaka kuondoka.Kufuatiwa Jay Z kutaka kuhudhuria after party y a Rihanna bila Beyonce,Solange ambaye alionekana akiwa amelewa akaja juu na kuhoji ‘Why can't you go home?' and to Beyonce 'Why does your husband need to go to the club right now?'" na Jay Z imeripotiwa akajibu  "You're one to talk." jibu ambalo Solange hakulifurahia na ukatokea ugomvi.
Baada ya ugamvi huo Solange amefuta karibuni picha zote za dada yake ambaye ni Beyonce katia akaunti yake ya Instagram .

0 comments:

Post a Comment