Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 17, 2014

 

Ndege iliyopotea ya Malaysia Airlines flight 370 imepotea na kuacha history kama moja kati ya majanga.Mtandao wa hollywoodlife.com umeandika kwamba kuna filamu ipo katika hatua za utengenezwaji kuhusiana na ndege hiyo iliyopotea ya Malaysia Airlines flight 370.Filamu hiyo itaitwa The Vanishing Act,inafanyiwa kazi na muongozaji wa filamu maarufu kutoka Indian,director Rupesh Paul.Rupesh Paul amezaliwa 25 April 1979,ni Indian film director,screenwriter na poet.Mbili kati ya filamu alizoziongoza zimechukua tuzo za heshima kubwa za Oscar, Saint Dracula 3D na Kamasutra 3D. Filamu nyingine ni My Mother's Laptop (2008), The Temptation Between My Legs (2008), You Can't Step Twice Into the Same River (2008), Mrigam (2010), Pithavum Kanyakayum (2010), and What The F (2013).

 

0 comments:

Post a Comment