Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 17, 2014

Rihanna Drake Twitter Diss
Rihanna mwenye umri wa miaka 26 naDrake 27 inasemekana wametenga baada ya kipindi cha muda mfupi japo walionekana wanatengeneza perfect relationship.Kwasasa wawili hao wapo tofauti kila mmoja na mabo yake,je ujumbe aliuandika RiRi katika akaunti yake ya Twitter ni kama namna moja ya kuonyesha anavyojisikia?
Katika upande mwingine Rihanna amempa shavu rappa Jay Z kwa jinsi alivyoweza kujizuia bila kujibu mapigo wakati akishambuliwa na shemejie Solangekwa kusema :Jay-Z Handled Fight Like A ‘Perfect Gentleman.

0 comments:

Post a Comment