Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 17, 2014

 

Solange kushtakiwa kwa kosa la kumshambulia ra[pa Jay Z umeandika mndao wa HollywoodLife.com baada ya kuongea na afisa wa polisi mstaafu.Afisa huyo aafumstaafu wa NYPD amesema iwe isiwe Solange mwenye umri wa miaka 27 lazima ashitakiwe na anaweza kwenda jela kwa kosa la kumshambulia Jay Z katika lifti May 5. Na katika upande mwingine juu ya shambulio hilo lililozua gumzo,Solange bado anamlaumu dada yake,Beyonce kwa kutokuingilia ugomvi huo.Beyonce alipohojiwa kwamba kama ugomvi utaendelea atakuwa upande gani? alijibu : najua damu ni nzito kuliko maji lakini ikitokea ntakuwa upande wa mume (Jay z)

0 comments:

Post a Comment