Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 16, 2014

Rihanna and Drake Break Up

HollywoodLife wameandika,Rihanna na Drake wapo katika kipindi cha misukosuko ya mahusiano yao lakini inaonekana kama bado kuna nafasi ya wawili hao kumaliza tofauti zao na kuendelea na mapenzi.Rihanna ametoa angalizo juu ya nini boyfriend wake huyo anatakiwa kufanya ili waendelee na upenzi:Cha kwanza Rihanna amemtaka Drake awe ngangari kuzivuka changamoto,apunguze lawama na za kumsema she's too needy.

0 comments:

Post a Comment