Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 16, 2014


 Carles Puyol aliyeichezea timu ya Barcelona nafasi ya ulinzi kwa misimu takribani 15 ya mafanikio ,siku ya jumatano Puyol aliaga rasmi kuachana na football baada ya kusumbuliwa na maumivu makali ya goti.Barcelona ikiwa na mlinzi uyo ilifanikiwa na kutajwa kuwa ni moja kati ya timu kubwa na zenye mafanikio makubwa katika historia ya vilabu vya mpira wa miguu duniani. 

At an organized send-off at the Puyol alijiunga na timu hiyo yenye maskani yake huko Camp Nou,msimu wa 1998-99 na akiwa na timu hiyo wametwaa vikombe 21.
Puyol mwenye umri wa miaka 36 ameichezea timu yake ya taifa ya Sapin mara 100 na kushinda kombe la dunia mwaka 2010 na kushinda European Championship 2008.
Puyol wakati akiaga alisema moja kati ya best memory zake kilabuni hapo ni pale walipowafunga  Manchester United mwaka 2011 katika fainali ya Champions League,pale alipo uvua ucaptain na kumpatia Eric Abidal ili abebe kombe hilo kwa mara ya kwanza.Abidal sasa ni mgonjwa anayesumbliwa na kansa ya ini.


.

0 comments:

Post a Comment