Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 16, 2014

 Solange Knowles & Jay Z's Statement
Beyoncé, Solange, na Jay Z wanaendelea na maisha yao.Familia hiyo imeongelea mkasa wa shambulizi alilofanyiwa rappa Jay Z na shemeji yake Solange.
Siku ta jumatatu tovuti ya udaku wa watu maarufu,TMZ ilirusha kipande cha video kilichoonyesha rapa Jay Z akishambuliwa na Solange katika lifti wakati wanaondoka katika tamasha la Met Gala,Standard Hotel huko New Yor.
Baada ya sintofahamu ya nini kilipelekea mtu na shemeji yake kuvaana maungoni,familia hiyo sasa waneamua kuongelea swala hilo kwa maandishi hapo chini:
“As a result of the public release of the elevator security footage from Monday, May 5th, there has been a great deal of speculation about what triggered the unfortunate incident. But the most important thing is that our family has worked through it. 
Jay and Solange each assume their share ofresponsibility for what has occurred. They both acknowledge their role in this private matter that has played out in the public. They both have apologized to each other and we have moved forward as a united family.”

At the end of the day families have problems and we’re no different. We love each other and above all we are family. We’ve put this behind us and hope everyone else will do the same.”
The Standard Hotel has fired the employee responsible for leaking the three-minute video, which was reportedly sold to TMZ for $250,000.

0 comments:

Post a Comment