Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 20, 2014

Ray J Offers Sex Tape Profits To Kanye West & Kim Kardashian As Wedding Present
Ray J ametangaza ofa ya zawadi kwa maharusi watarajiwa,Kim Kardashian na Kanye West ambapo amesema atawapatia zawadi yenye
thamani karibu na dolla 47,000,ambayo amedai ni sehemu ya faida aliyoipata baada ya mauzo ya mkanda mweusi aliofanya miaka
 saba iliyopita na bib harusi mtarajiwa,Kim Kardashian
 Ray J amesema anatoa zawadi hiyo yenye thamani ya dola za kimarekani 47,000,ambayo ni sehemu ya faida ya mkanda huo
 mweusi aliyoipata katika kipindi cha miezi minne ndani ya mwaka huu wa 2014.
Ray J ameweka mchakato wa mapato kama ifuatavyo:mwezi january mkanda huo mweusi uliingiza dolla 6,135.60.mwezi February uliingiza dolla 20,097.31.mwezi march dolla 9,674.76 na dolla 10,931.52 mwezi April.ambapo jumla ya makusanyo yote ni dolla 46,840.13.
Wasimamizi wa mauzo ya mkanda huo mweusi unaowahusisha Ray J & Kim Kardashian,kampuni ya Vivid Entertainment imesema mkanda huo tangu  utoke miaka saba iliyopita paka sasa umeingiza
zaidi ya dolla millioni 50 million na faida hugawiwa wahiriki sawasawa.

0 comments:

Post a Comment