Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 20, 2014

 
Young Money star,Drake anaonekana kutobabaishwa na hali ya kuzinguana na aliyekuwa mpenzi wake, Rihanna.Drake ametupia picha kwa akaunti yake ya Instagram akiwa na anayesemekana kuwa ni mpenzi wake wa siku nyingi na kuandika ujumbe huu:
 #MyBoo"Me and my boo since way back when and every now and again @Fairytailshair haaaaa," Drizzy tyarehe18 May. Ripoti zaidi zinadai kulitokea mabishano yaliyosababisha Drake na Rihanna  kuzinguana na kuachana.

0 comments:

Post a Comment