Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 15, 2014

 Rihanna and L.A. Police Commission President Steve Soboroff (Twitter)
Rihanna siku ya ijumaa aliudhuria mechi ya mpira wa kikapu kati ya  Los Angeles Clippers vs Oklahoma City Thunder na kukaa pembeni ya Commission President wa polisi,Steve Soboroff wa L.A.Rihana na Sorboof wakataka kujipiga picha ya selfie na ndipo kwa bahati mbaya RiRi akaidondosha simu ya afande huyo na kuivinja kioo.
Baada ya tukio Riri kupitia akaunti yake ya Twitter,aliandika "Sorry I broke your phone @SteveSoboroff :)" na kisha akachangia dolla za kimarekani 25,000 kwa Los Angeles Police Foundation zitakazo zaidia katika shughuli mbalimbali za kipolisi na kusaidia familia za mapolisi waliopoteza maisha.

0 comments:

Post a Comment