Jackie Chan amesema anajisikia aibu kwa kitendo cha mwanaye wa kiume,Jaycee mwenye umri wa miaka 31 kukamatwa na kiasi kikubwa cha bange nyumbani kake huko Bijing China wiki iliyopita.
Jackie Chan ameandika barua ya wazi katika website yake akielezea masikitiko yake kama baba kujiona kashindwa majukumu ya u baba.Amesema mara ya kwnza alipopata habari hizo
"alijisikia vibaya sana,niiwa kama kioo cha jamii na ni baba nilijisikia aibu sana ukiachilia mbali mama yake ambaye moyo ulimuuma sana.
Natumai kizazi hiki cha vijana kitajifunza kitu kutokana na makosa makubwa ya mwanangu Jaycee na kuwa mbali na matumizi ya madawa yote ya kulevya.
Ningependa kuchukua nafasi hii kumwambaia Jaycee: umekosea sana na anayokukuta ni matokeo ya makosa yako.Mimi ni baba yako na nitaendelea kuwa.
Vilevile nitachukua nafasi hii kutoa somo kama baba kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na usumbufu wowote uliojitokeza kwa jamii kwaajili yangu na mwanagu Jaycee. Thank you."
Thursday, August 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment