Masikini Karrueche Tran. Inafahamika anampenda sana star wa muziki wa pop na R&B,Chris Brown,kwa moyo wake wote na amejitolea kwa kila kitu.Kwa bahati mbaya mambo yanaenda tofauti kwa Karrueche kwani inaonekana hapendwi na Brown na amemwagwa,kupitia akaunti yake ya Twitter siku ya tarehe 26 Nov Karrueche ameandika ''Looks like I'm a single lady agai''
Cha kusikitisha zaidi Karrueche na Chris walikuwa wakiishi pamoja na walikuwa pamoja mara nyingi na hata kupanga maisha yao ya baadae pamoja ikiwa ni pamoja na Karrueche kutaka kumzalia mtoto Chris.
Thursday, November 27, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment