Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 27, 2014


 Rick Ross Says He's One Of The Most Played Artists In Prison
Rappa tika pande za Miami, Florida ambaye ameshawahi kutumikia magereza, Rick Ross amesema yeye ni mmoja kati ya wasanii wa hiphop ambaye nyimbo zake zinchezwa zaidi magerezani.
" Ross ameongelea hayo pale alipokuwa akimuongelea rafiki yake ambaye alikuw akiongozi wa kundi moja la wahuni, Kenneth "Boobie" Williams.
Kiongozi huyo wa Maybach Music Group amesema Williams ni mshikaji wake mkubwa ("big homie") ndiyo maana nyimbo zake zinachezwa sana magerezani.

Ross pia ameongelea swala la wasanii wakuba kama Jay Z ukiangalia uasilia wa mashindano katika rap music,japo wapo juu lakini macho yao makini kwa watu walioleta nmabadiliko kama yeye na kundi lake aliloliita lenye mafanikio Maybach Music Group.


0 comments:

Post a Comment