Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, November 28, 2014


 Pharrell To Receive Hollywood Walk Of Fame Star On December 4
Kutoka Queen Latifah mpaka Tupac na mastar wengine wakubwa wa Hip Hop wamewekewa nyota maalumu katika Hollywood Walk of Fame na sasa taarifa zilizopo ni kwamba star wa Rap,pop na producer,Pharrell William naye kuwekewa nyota.
Taarifa toka kwa wahusika na uteuzi na uwekaji nyota huko Hollywood Walk of Fame chini ya mwenye kiti wake Maureen Schultz zimesema,  Pharrell Williams atawekewa nyota ya pembe tano mwezi December tarehe 4.

Hollywood Walk of Fame ni njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, California, Marekani, ambayo hutumiwa kama sehemu ya maonyesho ya burudani. Imetiwa zaidi ya nyota yenye-pembe tano 2,000 ikiwa na majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata yale ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwenye Hollywood kwa mchango wao katika tasnia ya burudani. The Walk of Fame ni inajipatia fedha na Hollywood Historic Trust. Nyota za kwanza zilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd. na Highland Ave.


0 comments:

Post a Comment