Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 5, 2015

  
Kiongozi huyo wa G-Unit pia amesema ana mpango wa kuinunua Murder Inc.
Juzi tarehe 3 March wanachama wa G-Unit,50 Cent, Tony Yayo na Lloyd Banks walikuwa katika mahojiano na kipindi cha The Breakfast Club na rappa 50 aliongelea mahusiano yake na producer    Dr. Dre, ambapo alitnabaisha kwamba ahwezi kusema ni marafiki tena.
50 amesema hawapigiani simu wala hawawasiliani tena na anaamini walikuwa katika mahusiano kibiashara tu,najiona kama nilikuwa mchezaji wa New York Knick katikati ya chumba cha makabati cha LA.Akimaanisha lebo ya Interscope ilikuwa ya watu wa West Coast  japo ilikuwa East Coast kwahiyo bado kulikuwa na utofauti wa kanda hizi mbili.
50 ameongeza kusema anaamini mahusiano yake mabaya na mfanya biashara mwenzake na Dr.Dre bwana Jimmy yamezidi kuchochea umbali wake na Dre.
50 Cent pia ameelezea kile alichokiona kwamba Suge Knight alipanga kumuua Dr. Dre kwasababu ya mafanikio ya Tupac akiwa katika lebo ya Death Row kipindi hicho Dre akiwa ndiye producer.
Kuhusu swala la kuinunua lebo ya aliyekuwa hasimu wake JA Rule,Murder Inc ambapo amesema ungekuwa mpango mzuri kwani ukitaka kummaliza adui yako unammaliza mazima.

0 comments:

Post a Comment