Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, March 6, 2015

Chris anampango wa kuwa karibu na binti yake wa umri wa miezi 9 anayetajwa kwa jina la Loyality,taarifa toka kwa watu wa karibu zinasema,star huyo anampango wa kuwahamishia Califonia mama wa mtoto huyo,Nia Amey na mtoto wake.

Chris Brown amemtaka mama wa mtoto huyo mwanamitindo wa zamani,Nia Amey(31) wahamie katika mjengo wake wa kifahari huko Califonia wakati akiwatafutia nyumba yao ya kuishi.
Swali linakuja je vp kuhusu mpenzi wake wa sasa Karueche Tran?

0 comments:

Post a Comment