Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, March 4, 2015

Chris Brown and daughter
Surprise! Chris Brown ni baba sasa.Taarifa toka katika mtandao wa TMZ,zimesema,star huyo wa R&B ni baba wa mtoto wa kike wa miezi 9.
Mama wa mtoto huyo anafahamika kwa jina la Nia (31) ambaye alikuwa mwanamitindo na walikuwa watu wa karibu na Chris Brown kwa miaka mingi.
Nia na Chris wameripotiwa kuwa katika maelewano mazuri japo si wapenzi na taarifa zaidi zinadai Chris Brown alifurahia habari njema za kuwa baba.
Alipofanyiwa mahojiano na kipindi cha “The Breakfast Club” mwezi uliopita,Chris aliongeea swala la kuwa muaminifu sana katika mahusiano yake na mpenzi wake Karrueche na kusema anampenda sana japo anapenda kula bata na mabinti wakimzunguka.

0 comments:

Post a Comment