Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 2, 2015

Milio ya risasi ilisababisha kuisha mapema kwa onyesho la marappa T.I.Jeezy na Yo Gotti lililofanyika huko Charlotte, North Carolina February 28.Taarifa toka kwa wanausalama wa Charlotte zimesema tukio hilo la shambulizi la risasi lilitokea mida ya saa moja jioni katika klabu ya Label night club na kupelekea watu wawili,mwanaume na mwanamke kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali.
Polisi ya Charlotee imesema jakuna aliyekamatwa kuhusishwa na shambulizi hilo.

0 comments:

Post a Comment