Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 19, 2015


Wakati bondia Manny Pacquiao anapambana kupata free chicken for life, Floyd Mayweather anatumia gharanma sawa na za kununua garikwa msosi tu kila sikU.Mtandao wa TMZ umeripoti Money May is anamlipa mpishi maarufu na maalumu wa Las Vegas,Chef Q, kiasi cha dola184,000 kuendeea kumuandalia misosi kila siku mpaka siku ya mpambano May 2.

Taarifa zaidi zinasema Chef Q hatozi kiasi hicho kwa mlo lakini sababu Floyd mwenyewe ametaka iwe hivyo kwa kile alichokiona kwamba misosi anayopatiwa inastahili kugharamiwa hivyo.

0 comments:

Post a Comment