Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 23, 2015


wiz-khalifa-amber-rose-mtv-awards-getty-



Japo alisaini karatasi za talaka mwaka jana, Amber Rose,31 sasa anaonekana kutaka kurudiana na mumew na baba wa mtoto wake mmoja,rappa Wiz Khalifa,27.Amber alidai talaka kufuatia madai ya kusema mumewe huyo alikuwa akichepuka wakati akiwa katika ziara za muziki.


Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni mwanamitindo na muigizaji huyo wa filamu,Amber Rose amekiri kwamba yupo mbioni kuweka sawa mambo warudiane na mumewe huyo waliotalikiana waishi kama familia na wamlee mtoto wao.

Amber Rose na Wiz Khalifa wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume wa miaka  2, Sebastian.

0 comments:

Post a Comment