Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 27, 2015

 0426-lil-wayne-police-tour-bus-wsbtv-3 copy
Taarifa toka mtandau wa habari za kidaku wa TMZ,zimesema,basi la ziara ya muziki alilokuwamo rappa Lil Wayne,lilishambuliwa kwa risasi jumapili asubuhi huko.
Wayne alitumbuiza katia ndani ya Compound nightclub siku ya jumamosi na usiku na ilipofika mida ya saa tisa na nusu alianza safari ya kuondoka ukumbini hapo ndipo dakika chahche baadaye basi alilopanda likashambuliwa kwa risasi.
Taarifa zaidi zinasema katika basi hilo alikuwamo Lil Wayne na baadhi ya wana Young Money akiwamo Lil Twist na Hood.
Taarifa za polisi zinasema hauna aliyejeruhiwa wala kupoyeza maisha kufuatia mashambulizi hayo na wanaendeea na uchunguzi juu ya nani wamefanya shambulio hilo..

Mmoja kati ya watu waliokuwamo kwa basi hiko amesema hakuwaona wahambuliaji ila aliona gari aina ya  SUV.


Lil Wayne Tour Bus

0 comments:

Post a Comment