Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 1, 2015

 Image result for chris brown kendrick lamar & meek mill
Lile tamasha kubwa la muziki wa hip hop duniani,Summer Jam 2015 ambalo huwa linaandaliwa na radio ya New York, Hot 97 ,limetangazwa kufanyika na orodha ya wasanii watakaotumbizamwaka huu imetajwa.
Orodha inmapambwa na wasanii ambao mmoja wapo ni ambaye hivi karibuni ameachia albamu na iefanya vizuri na sasa ni No.1 ,To Pimp a Butterfly,Kendrick Lamar,wengine ni Chris Brown,Trey Songz,Big Sean, Fabolous ,Meek Mill, Ty Dolla $ign wasanii waalikwa watakuwa ni Omarion na Childish Gambino.
Kabla ya tamasha lenyewe kutakuwa na shere za awali ambazo zitapambwa na burudani toka kwa waanii Travi$ Scott, B.o.B, Joey Bada$$, DeJ Loaf na Teyana Taylor.
Tazama tangazo linaloelezea tamasha hilo hapo chini:
.Summer Jam 2015

0 comments:

Post a Comment