Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 2, 2015

 Image result for n.w.a straight outta compton movie
Matangazo ya kuashiria kwamba ile filamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya Staright Outta Compton,yametoka.Matangazo hayo ni sambamba na Trailer ya fiamu hiyo.
Straight Outta Compton ni filamu inayokuja mwaka huu wa 2015,ni fila,u ya kiamerican iliyoongozwa na F. Gary Gray,ni filamu inayooonyesa hadithi ya kupanda na kushuka kwa l;ililokuwa kundi maarufu la hiphop lililokuwa na makazi yake huko Compton, California,N.W.A, kundi ambalo lilikuwa likundwa na na miamba ya hip hop kama Eazy-E aliyefariki mwaka 1995 kwa maradhi ya AIDS, Dr. Dre, Ice Cube, MC Ren na DJ Yella.JIna la filamu hiyo limechukuliwa kutoka katika jina la albamu ya kundi hilo la N.W.A ya mwaka 1988,Straight Outta Compton.Fiamu hiyo inatarajiwa kuachiwa na kuonyeshwa katika majumba ya sinema August 14, 2015.
 

0 comments:

Post a Comment