Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 8, 2015

 

Christina Milian amethibitisha kwamba ni mpenzi wa rappa Lil Wayne,Christina Milian, 33, amethibitisha kuwa ni mpenzi wa Lil Wayne, 32, alipofanya mahojiano na mwandishi wa ETOnline May 4 wakati akifanya kampeni ya kuitangaza singo yake mpya ''Rebel''  ambapo pia amekiri penzi la Lil Wayne limempelekea kuandika wimbo huo. Christina na Lil Wayne wamekuwa katika mahusiano tangu mwezi July mwaka 2014 laini hawakuwa tayarai kuweka mambo hadharani.

 

0 comments:

Post a Comment