Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 11, 2015

Bow Wow Leaves YMCMB; Plans To Sign With Snoop Dogg & Jermaine Dupri

Bow Wow ametangaza kujitoa YMCMB huku akisisitiza kuwa hana beef vosi wa lebo hiyo bwa Birdman. Bow Wo ambaye alikuwa mtangazai wa kipindi cha televisheni cha 106 & Park na awali alikuwa akitambulika kama Lil Bow,kupitia mitandao ya kijamii amesema sababu kubwa za kujitoa si kama wengi wanavyodhania kwamba labda kuna tofauti ama kutokuelewana na uongozi kama ilivyo kwa wanachama wenzake wa YMCMB bali ameonelea ni bora akarudi kufanya kazi na watu waliomtoa katika muziki ambao ni Snoop Dogg na Jermaine Dupri.

Nahiki ndicho alichokiandika Bow Wow:
"I wanna dictate when my music comes out "I'm tired of going to the studio to make records and then I listen to them. 'Cause they get old... I just can't be held up by nobody. It's as simple as that."

0 comments:

Post a Comment