Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 11, 2015



Amber Rose anasema ulaumiwe ulevi.Na hii ni baada ya kuwaambia wanahabari katika club moja huko Las Vegas kwamba Kanye West aliyewahi kuwa mpenzi wake huwa aandikiwa nyimbo na Travis Scott.Inaonekana bada ya kuamka kutoka katika pombe aligundua ameongea ndivyo sivyo hivyo ameamua kuvunja kauli zake kwa kusema,alikuwa amelewa sana.


0 comments:

Post a Comment