Pmaoja na kuwa na umri wa miaka 45,mwamba wa muziki wa hiphop,mjasiliamali na bosi wa Bad Boys, Diddy bado anafikiria kula ujana na hana mpango wa kuoa.Akihojiwa katika kipindi cha televisheni cha “Watch What Happens Live” ,Diddy alisema :I don’t know [if I’ll ever get married]. It’s the whole thing of; I think you have to be ready for it because it’s somebody else’s heart involved. That’s just a lot of responsibility and I don’t want to be going to court and having somebody interfere in my relationship. So I’d rather just do the “Goldie Hawn.” But I will give a contract. I will commit to a contract, a love contract.
No honestly, I just don’t think I’m ready right now [for marriage], but I’m a great boyfriend.
Maswali mengi yatawagonga watu vichwani kuhusu mpenzi wa sasa wa Diddy, Cassie Ventura, 28,anaichukuliaje kauili ya mpenzi wake kutyokuwa na mpango wa kuoa ama kuoana.
0 comments:
Post a Comment