Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 15, 2015


 Suge Knight anaendelea kupatiwa matibabu na uchunguzi wa kiafya kufuatia hali ya kupoteza fahamu mara kwa mara akiwa jela.
Wakati maktari wakiendelea na matibabu waligundua kuna tatizo katika ubongo ndipo walipoamua kuchuua kipimo cha MRI ambacho kilishindwa kufanya kazi tu kwaababu Suge Knight ana risasi kichwani iliyobaki tangu mwaka 1996 usiku ambao Tupac aliuwawa.Suge Knights amegoma kutolewa risasi hiyo hivyo madaktari wameshindwa kumsaidia kumpatia matibabu.

0 comments:

Post a Comment