Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 12, 2015

 
Kanye West anweza kuongezea cheo katika jina lake na kuanza kujiita doctor Kanye West.Mwamba huyo wa muziki wa hip-hop ametunukiwa heshima ya kuwa daktari wa Fine Arts from kutoka taasisi ya sanaa ya Chicago jana siku ya jumatatu May 11.Kanye West ambaye amekulia na kusoma Chicago katika chuo cha American Academy of Art na baadaye Chicago State University,japo hakuhitimu na akaendelea na shughuli za muizki na kutoa albamu ya kwanza aliyoipa jina The College Dropout. alipokea tuzo hiyo akiwa amelivalia joho jesui na kofia yake na kuanza kuhutubia namba kubwa ya wanafunzi na walimu waliokuwapo katika hafla hiyo.

Tangu atunukiwe kuwa Dr. West,ametanua wigo wa vyeo na kuwazaidi ya rapper-singer-songwriter-producer, mjasiliamali, film director na m bunifu wa mitindo.

0 comments:

Post a Comment