Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 13, 2015

 Kanye West & Pharrell Drive adidas Sales
CEO wa kiwanda kinachotengeneza vifaa vya michezo cha wajerumani cha Adidas amesema viatu vya Pharrell William,Pharrell Williams' Superstar shoe vimekuwa ndiyo viatu vya msimu na amekiri kuwaongezea mauzo kwa asilimia 29 zaidi yaliyopelekea kupatikana kwa faida kubwa.
slew of high-profile endorsements have proven profitable for adidas.
CEO huyo wa Adidas,Herbert Hainer amesema viatu hivyo vya Pharrell William,Pharrell Williams' Superstar shoe,ambavyo vimetolewa katika mitindo a rangi tofauti 50,vimekuwa vikinunuliwa sana mpaka imefikia kuviita ndiyo viatu bora kwa msimu kwani vimepelekea soko kuelekea katika hatua nyingine.
Hainer pia ameongelea mafanikio yao katik soko la viatu kwamba pia kingine kilicholeta mabadiliko na mafanikio makubwa ni ubunifu wa rappa Kanye West katika viatu vya kwanza aina ya mabuti vikiwa na nembo ya Adidas vilivyopewa jina la  Yeezy Boost.

0 comments:

Post a Comment