Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 8, 2015

 Chris Brown
Mtandao wa kidaku wa America,TMZ, umeandika,Chris Brown alirudi nyumbani kake hukoAgoura Hills, Califonia siku ya jumatano na kukuta nguo za kike zikiwa varandani,ukuta wake wa jikoni umeandikwa ''I Love You na walipoingia chumbani kwake walmkuta mwanamke asiyemfahamu akiwa mtupu kitandani.
Brown aliita polisi ambao walifika eneo la tkio na kumkamata mwanamke huyo mpaka kituo cha polisi ambapo alifunguliwa mashata mbalimbali yakiwemo ya kuingia nyumbani mwa mtu bila ruhusa na uharibifu wa mali.
Police wanasema wanaamini mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 21 alipata muda zaidi wa kukaa katika mjengo wa Chriss Brown kwani muimbaji huyo alikuwa huko Las Vegas kwa siku kadhaa na walikuta vyombo vimetumika na vina mabaki ya chakula  ikimaanisha alikuwa akijipikia kwa siku kadhaa.
Mwanamke huyo mbali na kuandika I Love You katikaukuta wa jikoni pia ameandika ''Mrs Brown katika magari ya thamnai ya Chriss Brown,silver Rolls-Royce na black Range Rover
Taarifa zaidi zinasema,mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Amira Kodcia Ayeb raia wa Tunisiaambaye anadai jina lake la mwisho ni Brown, alituma ujumbe mtandaoni siku 4 zilizopita akisema yupo huko Malibu anapatafuta nyumbani kwake akimaanisha Chris ni mumewena ndiyomaana aliyaandika magari hayo ya thamani "Mrs. Brown.
Mwanamke huyo bado yupo mikononi mwa polisi mpaka apatiwe dhamana ya dolla $50,000.
Huu ndiyo ujumbe alioutuma Chris Brown  katikia akaunti yake ya Instagram baada ya tukio hilo aliloliita la kushangaza: “I get home and find this crazy individual in my house. She had broken the hinges off the doors,” he said. “She Found time to cook her several meAls. She Wrote ‘I love you’ on the walls. She threw out my daughters clothing as well as my dogs stuff. Then had all these crazy voodoo things around my crib. goes to show you how crazy people are crazy! And she painted her name on my cars!!!! I love my fans but this is some is on some real real crazy shit.”
Tazama picha ya mwanamke huyo hapo chini:
 0507-chris-brown-trespasser-instagram

0 comments:

Post a Comment