Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 7, 2015


 Image result for the game & young thug
Rappa the Game had amempatia vipande vyake rappa Young Thug alipokuwa akitumbuiza katika tamasha lake huko New Orleans (May 5).Rappa huyo toka pande za Compton, California rapper wakati akitumbuiza akachukua sekunde chache jukwaani kumpiga mkwala mzito rappa Young Thug na kumtaka aache kuzinguana na mshikaji wake ambaye ni rappa Li Wayne.The Game amesema mtutu yeyote atakayezinguana na mtu wa pwani ya magharibi na Lil Wayne atakuwa amemzingua yeye pia na mpaka kufikia kumtishia Young Thug asithubuthu kufika pande za California ambapo amepangiwa kwenda kutumbuiza siku kadhaa zijazo na kumtusi Lil Wayne.
Nao upande wa Young Thug umejibu mapigo kwa kusema watafanya tamasha huko California bila matata sababu wamejipanga kukabiliana na lolote.

0 comments:

Post a Comment