Mwaka wa 2014 haukuwa mzuri kwa muziki wa Hip Hop,kuanzia kudorola kwa mauzo ya albamu na hata kupasuka kwa makundi na lebo kubwa zinazoshughulika na muziki wa Hiphop,lakini stori kubwa ilikuw ni Lil Wayne's kutangaza kutaka kujitoa katika lebo aliyofanya nayp kazi muda mreful, YMCMB iliyo chii ya bosi, Birdman.
Kufuatia vuta nikuvute hiyo inaripotiwa Wayne amesaini na royalties collection
company Kobalt ambayo anaamini itamsadia kupata haki zake zote zikiwemo pesa ambazo hakulipwa na Cash Money na malipo yake ya awali ya utengenezaji wa albamu zake.
Mtandao waKobakt,Kobalt's website,
wanasema wana njia za uhakika na za nguvu za kuhakikisha waanii wao wanalipwa na wanapata wanachostahili katika muda uliopangwa.
Kampuni hiyo ya Kobalt inafanya kazi na wasanii wakubwa kama Busta
Rhymes, Kid Cudi, Noah “40” Shebib,DJ Premier,Ariana Grande, Bruno Mars, Sam Smith na Calvin Harris.
Tuesday, June 9, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment