Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, February 5, 2016


Inaonekana kama harufu ya beef nyingine kwamiamba ya hiphop linanukia.
50 Cent amjia juu na kumlaumu Puff Daddy kuhusika na mauaji ya rappa Tupac Shakur.
50Cent kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika Puff Daddy anahusika moja kwa moja na kifo cha Tupac.50 aliandika hayo bada ya ripoti kutoka mtandao wa Huffington Post katika documentary iliyopewa jina Murder Rap ambapo afisa mstaafu wa LAPD,officer Greg Kading amedai Boy executive “alitoa ofa ya donge nono la dola millioni moja kwa Crips member,Duane Keith (Keffe D) Davis amuue Tupac Shakur na meneja wake Suge Knight.

0 comments:

Post a Comment