Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, February 7, 2016


Wiki iliyopita Diddy alisimamisha na waendesha kipindi cha televisheni cha Khloe Kardashian,Kocktails With Khloe,ambapo alihojiwa na wakapihga story mbalimbali na moja kati ya maswali yaliyobeba hisia za wengi ni pale Diddy alipoulizwa nani favorite artist wake kwa sasa,Diddy alimtaja Drake kuwa ndiye favourite artist right now.Hili limebeba hisia za wengi kwani ukirudisha kumbukumbu zako mie ya nyuma wawili hao walitajwa kuwa na ugomvi mkubwa na baadaye Diddy alifunguka nini kilipelekea wao kuhitilafiana.

0 comments:

Post a Comment