Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, February 8, 2016

image
Super Bowl 50 ilifana kwa show kali ya mastaa wakubwa na wakali wakatia wa Halftime katika ukumbi wa Levi’s Stadium huko Santa Clara, Calif ambapo timu ya mchezo wa American football uliochezwa mwezi February 7, 2016 pale Carolina Panthers walikuwa wakimenyana na  Denver Broncos .
Ikiwa ni siku moja tu imepita tangu alipotoa video ya wimbo wake mpya “Formation,  kwa kushtukiza,Queen Bey alitumbuiza kwa kuimba wimbo huo wakati wa mapumziko ya fainali hizo za mchez owa American football zinazofahamika kama Super Bowl 50.

Beyonce alitumbiza jukwaa moja na mastaa kama Coldplay na Bruno Mars na kivutio kikubwa zaidi kilikuwa ni pale Lady B aliponyuka leather jacket likiwa na bullet details,bodysuit,nyavunyavu ikiwa na nakshi za mtindo wa Michael Jackson sambamba na backup dancers ambao walifanya show kali na kuonyesha baadhi ya step za choreography kutoka katika video mpya.


 The American Football Conference (AFC) champion Denver Broncos defeated the National Football Conference (NFC) champion Carolina Panthers 24–10 at Levi's Stadium in Santa Clara, California to earn their third Super Bowl title.


0 comments:

Post a Comment