Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, February 9, 2016

 

 Queen Bey alimuenzi the King of Pop.
Kamam wewe ni mmoja wa waliofikiria kuhusu kivazi alichokivaa Beyoncé chenye nakshi za black-and-gold Super Bowl ilikuwa ni maalumu kwaajili ya kumbukumbu ya Michael Jackson alivyotumbiza katika fainali hizo mwaka 1993 ulikuwa sawa kabisa.
Beyonce amethibitisha hayo baada ya kujibu swali la waandishi wa mtandao wa “Extra,” kuhusu kama kivazi alichotinga kama ilikuwa ni kwaajili ya kumuenzi King of Music,Michael Jackson,jibu lilikuwa,ni kweli kabisa.

0 comments:

Post a Comment