Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, February 11, 2016

 Kanye West
Sahau kuhusu So Help Me God "Swish" na "Waves" Kanye West ametaja jina jipya la albamu yake mpya ambalo ni shout out to the biggest drug lord in history.
Kanye West kupitia akautnti yake ya tweeter aliandika swali kama chemsha bongo kwa mashabiki wake ambapo alitaka kutajiwa kirefu cha T.L.O.P. ambapo mashabiki walichemka ndipo alipowatajia kuwa T.L.O.P ni kirefu cha la albamu yake mpya "The Life Of Pablo."

Sambamba na kutangaza jina jipya la albamu yake,Kanye West aliachia track ya mwisho kutoka katika albamu hiyo alnaouita “No More Parties in LA” ambao kamshirikisha Kendrick Lamar. Sehemu ya mistari katika wimbo huo inasema:
\“I feel like Pablo when I’m working on my shoes,” he raps. “I feel like Pablo when I see me on the news / I feel like Pablo when I’m workin’ on my house.”
Katika habari nyingine Kanye amesema anahitaji mfadhili wa kuwekeza na kumsaidi kama dola millioni 100.Rapa na mwanamitindo huyo amesema anahitaji mfadhili ili aweze kufanya makubwa na kupata mafanikio kuliko aliyonayo sasa.
Kanye Westa katika maswala yake ya mitindo anafanya kila kitu kwa hela yake
Ikiwa atapatiwa ufadhilli wakiasi hicho alichokitaja amesema:
. I’m going to be the Tupac [Shakur] of clothing.” He went on to declare that he was going to be the “first hip-hop designer, and because of that I’m gonna be bigger than Walmart.”
Kanye West sasa anadili na Adidas kuuza matoleo yake ya Yeezy na hii ni baada ya kushindwana na  Nike.

0 comments:

Post a Comment