Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 10, 2016

 
lil-wayne-2









Japo hivi karibuuni tumejionea na kushuhudia wakimaliza tofauti zao na
kuungana tena Weezy na former manager na role model wake,Baby Williams,matatizo ya ki financial bado yanamuandama star huyo wa  YMCMB na kiongozi wa Young Money,Lil Wayne.
Ikiwa ametoka kumalizana na madeni ya kodiya mapato ya mwaka 2014 IRS wametangaza Weezy ambaye jina lake kamili ni Dwayne Carter amelimbikiza kiasicha madeni kama ifuatavyo $6,311,132 kwa mwaka 2012’na $5,843,952 kwa mwaka  2011.
It can be predicted that we can expect a new project from Mr. Carter for 2016’s fiscal year.

0 comments:

Post a Comment