Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 10, 2016



Kanye West katika vichwa vya habari mitandaoni tena kwa  drama.
Rapa na mwanamitindo huyo kupitia akaunti yake ya Twitter jana usiku ameandika “BILL COSBY INNOCENT !!!!!!!!!!”.
Kanye kwa kuandika ujumbe huo alisababisha mashabiki kuchangia kwa kutoa maono yao juu ya kesi nyingi za kuwalewesha kwa madawa,kubaka na udhalilishaji wananwake zinazotajwa kumkabill mchekesha mahiri na wa siku nying Bill Cosby.


Kesi dhidi ya Bill Cosby zinaendelea mahakani huko marekani na kama atakutwa na makosa atahukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka  10 jela.

William Henry "Bill" Cosby, Jr. is an American stand-up comedian, actor, and author. Cosby's start in stand-up comedy began at the hungry i in San Francisco, and was followed by his landing a starring role in the 1960s television show I Spy. 
Spouse: Camille Cosby (m. 1964)

0 comments:

Post a Comment