Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, February 15, 2016

 
Rapa Kanye West ametoa angalizo kwa timu yake lilichukuliwa kama mkwara mzito,akitoa maelekezo kwa crew kwaajili ya maandalizi ya tamasha lake la Madison Square Garden,West alisema inamghalimu mtu yeyote millioni 10 ikiwa atatoa maneno nje kuhusu Kanye West ama yeyote katika familia yake.

Taarifa zaidi zinasema rapa Kanye West pamoja na kutoa angalizo na kuwapiga mkwara,amewasainisha documents maalum ambapo kila mmoja amejifunga kwa maandishi kwamba hatovujisha habari kuhusu yeye,ama yeyote toka katika familia ya Kardashian, Jenner ama West families,tofauti na hapo atatakiwa kulipa kiasi cha dola millioni 10.

0 comments:

Post a Comment