Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, February 15, 2016

 
Usiku wa jumamosi Lady Gaga alienda katika duka la legendary tattoo artist Mark Mahoney kwaajili ya kupatiwa huduma ya mchoro.
Taariza zaidi zinasema Gaga alienda kwa tattoo artist Mark Mahoney kwaajili ya kupatiwa mchoro mwilini mwake wa kumuenzi mwana muziki David Bowie.
Gaga sambamba na kumuenzi kwa mchoro huo pia alipanga kutumbuiza kwa show maalumu ya kumuenzi katika tuzo za Grammys


0 comments:

Post a Comment